Habari
Washitakiwa watano kesi ya mauaji ya Dkt. Mvungi wahukumiwa kunyongwa hadi kufa
Washtakiwa namba 1, 2, 3, 4 na 6 wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kutiwa hatiani kwa mauaji ya Dkt. Sengondo Edmund ...Msaidizi wa Bernard Membe ahojiwa kwa utakatishaji fedha
Jerome Luanda ambaye ni msaidizi wa mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe, anashikiliwa na polisi kwa mahojiano kwa tuhuma za ...Singapore kuwalipa raia wake wanaofanya mazoezi
App Inc na serikali ya Singapore zimeingia makubaliano ya kushirikiana kwa miaka miwili katika mradi wa kiafya unaofahamika kama LumiHealth ambapo utakuwa ...Tanzania yaziruhusu ndege za Kenya kuingia nchini
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeondoa zuio la kutoingia nchini ililokuwa imeweka dhidi ya ndege za Shirika la Ndege la ...Nchi 15 kutuma waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania
Nchi 15 kupitia Balozi zao hapa nchini zimeruhusiwa kuleta waangalizi wa Kimataifa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba, 2020 baada ya ...Umoja wa Ulaya kuipa Tanzania TZS bilioni 70 za kupambana na COVID19
Umoja wa Ulaya (EU) umesema uko tayari kutoa Euro 27 milioni (TZS 70 bilioni) kwa serikali ya Tanzania kwa lengo la kusaidia ...