Habari
TRC yaongeza ratiba ya treni mikoa mitatu
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya ...Bandari ya Dar es Salaam yaanza kupokea meli kubwa za mizigo baada ya maboresho
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema imeendelea kupokea meli kubwa za mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, ikiwa ni ...Dkt. Mwinyi asisitiza kutunza amani kuelekea Uchaguzi Mkuu mwakani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameisisitiza jamii kuendelea kuitunza amani iliyopo wakati nchi ikielekea ...Waziri Mkuu awataka wahandisi kutekeleza miradi kwa ubora unaoendana na thamani ya fedha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wahandisi wote nchini wazingatie miiko na maadili ya taalum hiyo ikiwemo kutekeleza miradi ya ujenzi kwa ubora ...Vodacom: Wateja wanaofanyiwa utapeli waripoti kwetu mapema
Kampuni ya Vodacom Tanzania imesema katika ukuaji wa mitandao na teknolojia, Watanzania wengi wanalizwa zaidi na udanganyifu shirikishi (social engineering) ambapo matapeli ...