Habari
Hashim Rungwe asema ukata unakwamisha kampeni za vyama vya siasa
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kuwa vyama vya siasa vinakabiliwa na ukata, hali inayopelekea vyama hivyo kushindwa kufanya kampeni kama ...Botswana kuanza kutumia Kiswahili shuleni
Serikali ya Botswana inakusidia kuanza kutumia lugha ya kiswahili shuleni, Waziri wa Elimu ya Msingi, Fidelis Molao amesema. Akizungumza akiwa mjini Francistown ...Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya Mawakili Tanganyika
Kamati ya Maadili ya Mawakili Tanganyika imemkuta Fatma Karume na hatia ya kukiuka maadili ya Uwakili na hivyo imeamuru jina lake (Namba ...Simba SC yaanza na Al Ahly ya Misri
Klabu ya Soka ya Simba imefikia makubaliano na Klabu ya Al Ahly ya Misri katika kushirikiana kwenye ufundi na uendeshaji wa wachezaji. ...Jaji Mkuu Kenya ataka bunge livunjwe kwa kukiuka Katiba ya nchi
Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga ameshauri Rais Uhuru Kenyatta avunje bunge la nchi hiyo kutokana na kutokuwa na wabunge wanawake wakutosha. ...TAMISEMI yaongeza siku 9 za kupokea maombi ya ajira za ualimu
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeongeza muda wa siku tosa wa kupokea maombi ya nafasi za ...