Habari
Corona: TBS yataja mambo 7 ya kuzingatia kwa wazalishaji na watumiaji wa barakoa za vitambaa
Katika kuhakikisha wananchi wanakuwa salama wanapotumia vifaa kinga mbalimbali kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa ...RC Gambo aeleza Kenya inavyotumia corona kuua utalii Tanzania
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema amebaini kuwa mamlaka nchini Kenya zimekuwa zikitangaza kuwa madereva wa Tanzania wanaotaka kuingia nchini ...Corona:RC Makonda awataka wakazi wa Dar waliokimbilia mikoani kurejea
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amewataka wakazi wa mkoa huo ambao waliondoka na kwenda mikoa mingine kwa ajili ya kukwepa ...Corona: Kenya yakana kuzuia madereva wote wa Tanzania
Serikali ya Kenya imesema kuwa haijafunga mpaka wake kwa sababu ya Tanzania bali imefunga kwa ajili ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya ...Corona: Madereva wa malori wa Tanzania wanavyobaguliwa mipakani
Madereva wanaosafirisha mizigo kwenda na kutoka katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki wamelalamika namna wanavyotengwa na kubaguliwa na raia wengine kwa hofu ...