Habari
Polisi: Uchunguzi wa binti aliyefanyiwa ukatili unaendelea vizuri
Jeshi la Polisi limesema uchunguzi wa wa video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha tukio la binti aliyefanyiwa vitendo vya ukatili unaendelea ...Rais: Viongozi mnaowalangua wakulima kwenye mpunga hamtendi haki
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wanaofanya biashara ya ununuzi wa mpunga kwa kuwalangua wakulima kuacha tabia hiyo kwani hawawatendei haki wakulima. ...Wanakijiji wamchangia kiwanja muuguzi kwa kuwahudumia kwa upendo
Wananchi wa Kijiji cha Ngomai Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wamechanga zaidi ya TZS milioni 4 kwa ajili ya kumnunulia muuguzi wa ...Rais Samia aipongeza REA kwa kutatua changamoto ya muda mrefu ya umeme
Rais Samia Suluhu Hassan ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kazi nzuri wanayoendelea kuifanya nchini ikiwemo mradi wa Kituo cha cha ...Nafasi 301 za Ajira Serikalini
POST: MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA I (ACCOUNTS ASSISTANT I) – 150 POST Employer: MDAs & LGAs More Details 2024-08-16 Login to Apply POST: MTENDAJI ...Rais: Migogoro baina ya wafugaji na wakulima haina tija kwa taifa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema migogoro baina ya wakulima na wafugaji haina tija kwa taifa kwani inaweza kuleta machafuko na kulidhoofisha taifa. ...