Habari
Raia wa China waliokwenda kutibu Corona Nigeria ni mafundi wa kampuni ya ujenzi
Katika hali ya kushangaza mamlaka nchini Nigeria zimesema kuwa hazifahamu ilipo timu ya madaktari 15 wa binadamu raia wa China iliyowasili nchini ...Taarifa ya CHADEMA kuhusu hali ya afya ya wabunge waliojitenga
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa wabunge wake waliokuwa wamejitenga kwa siku 14 kwa kukaa nyumbani na kutohudhuria shughuli zote ...Rais Magufuli agawa pikipiki kwa maafisa tarafa
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli ametoa pikipiki 12 kwa Maafisa Tarafa mkoani Rukwa ili ziweze kuwasaidia kutekeleza majukumu yao ya kiserikali katika ...Waziri Ummy Mwalimu: Corona itaendelea kuwepo tujifunze kuishi nayo
Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema kuwa kuna haja ya Watanzania kujifunza kuishi na virusi vya corona kwa sababu vitaendelea ...Virusi vya corona huenda visiishe kabisa, WHO imetahadharisha
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa virusi vya corona huenda visiishe kabisa, huku likitoa tahadhari dhidi ya wanaojaribu kueleza lini virusi ...