Habari
Teknolojia inavyotusaidia kupambana na kirusi cha corona
Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umeleta athari nyingi kwa jamii zetu na kuathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na watoa huduma ...Majina ya wabunge 15 wa CHADEMA waliozuiwa kuingia bungeni
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Nduga ameagiza Kitengo cha Usalama cha Bunge kutowaruhusu wabunge 15 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...Wasifu wa Askofu mpya wa Jimbo la Katoliki la Mpanda, Eusebius Nzigilwa
Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Alfred Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo ...Watanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na corona
Raia wawili wa Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya kupitia mpaka wa Isibania (mkoani Mara) baada ya vipimo kuonesha wana maambukizi ya virusi ...