Habari
Tanzia: Mkuu wa Wilaya, Hamim Gwiyama afariki dunia
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Hamim Gwiyama amefariki dunia leo Mei 7, 2020. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Nchi-TAMISEMI ...Wabunge wa upinzani watakiwa kwenda bungeni na fomu zinazoonesha hawana corona
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge wa upinzaniwaliotii amri ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya ...Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara
Rais Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Delphine Diocles Magere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani. Dkt. Magere anachukua nafasi ya Bi. Theresia ...Mbunge Silinde: CHADEMA wasiponidhamini kwenye uchaguzi, nitatumia chama kingine
Wakati idadi kubwa ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hawahudhurii vikao vya Mkutano wa 19 wa Bunge unaoendelea jijini ...