Habari
Corona: CHADEMA yawaagiza wabunge wake kutohudhuria vikao vya bunge
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wabunge wake kusitisha mara moja kuhudhuria vikao vya bunge pamoja na kamati zake, ili kujikinga ...Bunge lashauri wanaofariki wazikwe kwenye maeneo yao
Spika wa Bunge la Tanzania, John Ndugai ameshauri watu kuzikwa kwenye maeneo yao pindi wanapofariki, kwani kwa kutokufanya hivyo kunapelekea baadhi kuhofia ...Mei Mosi: Rais Magufuli awaambia wafanyakazi corona isizuie kazi
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza na kuwatakia heri Wafanyakazi wote hapa nchini ambao leo tarehe 01 Mei, 2020 wanaadhimisha Siku ya ...Tanzia: Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Mahiga afariki dunia
Rais Dkt. Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo alfajiri tarehe ...