Habari
Rais: Migogoro baina ya wafugaji na wakulima haina tija kwa taifa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema migogoro baina ya wakulima na wafugaji haina tija kwa taifa kwani inaweza kuleta machafuko na kulidhoofisha taifa. ...Wanaotuhumiwa kuvunja na kuiba usiku wakamatwa Rukwa
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limesema katika kipindi cha mwezi Julai, 2024 limekamata watuhumiwa 28 wakijihusisha na matukio ya uvunjaji hasa nyakati ...TRC yaomba radhi kwa treni kuchelewa kutokana na hitilafu
Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2: 15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 01, ...Wanne wakamatwa kwa kurusha fedha sakafuni kwenye sherehe
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuharibu noti za benki kwa kuzirusha sakafuni kitendo ambacho ni kinyume ...Rais Samia aiagiza TRC kufunganisha reli na usafiri wa anga
Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), kuhakikisha vipande vya reli ya kisasa ...Mbuyu maarufu Dar hatarini kuondolewa kupisha mradi wa BRT
Moja ya alama maarufu za Dar es Salaam iko hatarini kuondolewa kutokana na upanuzi unaoendelea wa Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi ...