Habari
Wagonjwa walazimisha kutoka Hospitali ya Amana
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, amethibitisha kuwa baadhi ya wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam, Amana, walitaka ...Corona: Rais Magufuli asema Dar es Salaam haitofungwa (lockdown)
Rais Magufuli amesema Serikali haitawafungia wananchi majumbani (lockdown) wala kulifunga Jiji la Dar es Salaam kama ambavyo baadhi ya watu wamependekeza, ili ...Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka Watanzania kuiamini serikali vita ya corona
Wakati hatua mbalimbali zikiendelea kuchukuliwa, waziri mkuu amewasihi Watanzania kuiamini serikali pamoja na watalamu wa afya katika mapambano dhidi ya homa ya ...Rais Magufuli afanya mabadiliko wizara ya afya
Rais Dkt. Magufuli amemteua Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. ...