Habari
Corona: RC Songwe wataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya wageni kutoka Dar na Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Songwe amewataka wananchi wote wa mkoani humo kuchukua tahadhari kwa kuwa kumekuwa na wageni wengi wanao ingia Songwe ...Wizara ya afya Tanzania yaandaa maombi maalum dhidi ya janga la corona
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kesho Aprili 22, 2020 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maombi maalum ya kuliombea taifa dhidi ya ...Mbunge wa Tanzania akutwa na maambukizi ya corona
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt Tulia Ackson, ametangaza kuwa mmoja wa wabunge wa bunge hilo amethibitika kuwa ana maambukizi ya ...