Habari
Waziri Bashungwa: Tanzania hakuna upungufu wa sukari
Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa hakuna upungufu wa sukari hivyo hawapaswi kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile. Waziri wa Viwanda na Biashara, ...Sekta binafsi Tanzania inavyosaidia kupambana na homa ya kirusi cha Corona
Katika siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona. Wiki ...Citizen TV Kenya yamuomba radhi Rais Magufuli
Kituo cha Televisheni cha Citizen (Citizen TV) cha nchini Kenya kimemuomba radhi Rais John Pombe Magufuli kutokana na kutumia maneno yasiyofaa wakati ...Serikali yataja sababu za sukari kupanda bei
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Stella Manyanya amesema kupanda kwa bei ya sukari huenda kunachangiwa na upungufu wa bidhaa hiyo sokoni, ...Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Hatujazuia ibada ili waumini waliombee taifa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali haijazuia watu kwenda kwenye nyumba za ibada kusalia, ili waumini watumie ibada hizo kuliombea taifa. ...