Habari
Rais Magufuli aomboleza vifo vya watu 18 mkoani Pwani
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu takribani 18 waliopoteza maisha katika ajali ...Mwigulu aishauri serikali isitangaze visa vipya wa corona
Mbunge wa Iramba, Mwigulu Nchemba ameishauri serikali kutotangaza visa vipya vya maambukizi ya virusi vya corona, kwa kile alichobainisha kuwa baadhi ya ...Corona: Marekani yasitisha ufadhili kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa amewaagiza maafisa wa serikali kusitisha ufadhili wa nchi hiyo kwa Shirika la Afya Duniani (WHO). ...