Habari
Wasafiri kutoka nje ya nchi kupelekwa karantini Hosteli za Magufuli
Na WAMJW-Dar es Salaam Serikali imetangaza rasmi kwamba wasafiri wote kutoka nchi za nje zilizoathirika na ugonjwa wa Corona watalazimika kukaa karantini ...Sekta mbalimbali zinavyoshirikiana katika kupambana na Coronavirus
Wote kote duniani hivi sasa wanapambana na tatizo la ugonjwa wa Coronavirus. Serikali zote barani Afrika kwa namna mbalimbali zinapambana kuhakikisha maambukizi ...Hotuba ya Mwenyekiti wa Chama Cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa Wananchi wa ...
Ndugu Wananchi, Naanza kwa kumshukuru Mola wetu Mtukufu kwa kuturuzuku neema zake za uhai na uzima na siku ya leo na muda ...Star Media, Multichoice na Azam zapigwa faini kwa kupotosha kuhusu corona
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeyatoza makampuni ya Azam Digital Broadcasting Limited, Star Media TLD na Multichoice TLD faini ya shilingi milioni ...