Habari
Serikali yawaongezea wageni siku 30 kuishi nchini
Idara ya Uhamiaji Tanzania imeongeza muda wa vibali vya kuishi nchini kwa raia wa kigeni walioshindwa kurejea katika nchi zao kwa siku ...Serikali yatoa majibu wa wanne waliopimwa Corona Mwanza
Watu wanne walioshukiwa kuwa na virusi vya Crona mkoani Mwanza wamethibitika kutokuwa na maambukizi ya virusi hivyo. Mkuu wa Wilaya ya Ilemele, ...Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo afanya kikao na msanii Chid Benz
Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza amwaahidi ushirikiano msanii wa bongofleva nchini Rashid Abdallah maarufu Chidbenz. Mheshimiwa Shonza ametoa ...Zanzibar yakanusha kuwepo muathirika wa Corona
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekanusha taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa muathirika wa virusi vya Corona katika Hospitali ...Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake nchini Tanzania
Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na ...