Habari
Sababu kuu tatu za Sumaye kujitoa CHADEMA
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo Disemba 4, 2019 ametangaza rasmi kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya ...Serikali yakataza wafugaji kuweka alama kwenye ngozi za mifugo, hasa ng'ombe
Serikali amewakataza wafugaji kuweka alama kwenye ngozi za mifugo yao hasa ng’ombe kwani kufanya hivyo kunashusha thamani ya ngozi za Tanzania, na ...Tanzania kurekebisha sheria inayoruhusu Wananchi, NGOs kuishtaka katika Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International uamuzi wa Tanzania kuondoa itifaki au kipengele ambacho kinaruhusu wananchi na ...Wananchi wa Kijiji wamkataa Mwenyekiti wa CCM aliyepita bila kupingwa, waeleza hujuma zilizofanyika
Ikiwa ni juma moja limepita tangu kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini, ambapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipata ushindi wa kishindo ...Benki ya Dunia yaipa Tanzania sh. 173 bilioni kuboresha elimu ya ufundi
Serikali ya Tanzania inatekeleza Mradi wa unaolenga kuleta mapinduzi katika Elimu ya Ufundi Afrika Mashariki (EASTRIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia. Akizungumzia ...