Habari
Rais: Uanzishwaji wa Benki ya Ushirika Tanzania ni utekelezaji wa wazo la muda mrefu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema uanzishwaji wa Benki ya Ushirika Tanzania ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi na ...Mchakato wa kumchagua Papa mpya wa Kanisa Katoliki kuanza Mei 7
Vatican imesema Baraza la Makardinali wa Kanisa Katoliki linatarajia kuanza kikao chake cha siri Mei 7, 2025 kwa ajili ya kumchagua Papa ...TAKUKURU yaokoa bilioni 9 mwaka 2024/2025
Katika kipindi cha kuanzia Julai, 2024 hadi Machi, 2025 Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU) imeokoa kiasi cha shilingi bilioni ...Majaliwa: Wizara ya Kilimo ifuatilie watendaji wa vyama vya ushirika
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iimarishe na kufanya ufuatiliaji wa watendaji wa vyama vya ushirika ili wazingatie maadili ya ...Matokeo ya waliofanya usaili wa ajira TRA
MAJINA_YA_USAILIDkt. Mwinyi: Serikali ya Zanzibar itahakikisha Muungano unaendelea kuimarika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa ushirikiano ...