Habari
Rais Samia aagiza utafiti wa kitaifa kuhusu wataalam wa afya kwenye soko la ajira
Rais Samia ameiagiza Wizara ya Afya kukamilisha utafiti wa kitaifa kubainisha hali halisi ya wataalam wa afya nchini walioko kwenye soko la ...Muswada mpya wapendekeza faini ya TZS milioni 104 kwa wanaotumia miujiza kuwatapeli wananchi
Kiongozi yeyote wa kidini atakayefanya miujiza, uponyaji au baraka kwa njia ya udanganyifu kwa lengo la kuwaibia Wakenya wasio na hatia, atakabiliwa ...TRC yaomba radhi treni ya umeme kuzima kwa saa mbili
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza katika ya stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ...Wafanyabiashara Moshi wafunga maduka kushinikiza ahadi ya Makonda
Wafanyabiashara takribani 150 wenye maduka katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamefunga maduka yao leo Jumanne, Julai 30, 2024, ...Waziri Masauni: Sativa hatoi ushirikiano wa kutosha kwa polisi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masaud amesema mwathirika wa vitendo vya utekaji, Edgar Edson Mwakabela (27) maarufu kama Sativa ...Rais: Tutaunda kamati kutatua changamoto za kodi kwa wafanyabiashara
Rais Samia Suluhu amesema Serikali itaunda kamati itakayoshirikisha wajumbe kutoka serikalini na sekta binafsi ili kupitia kwa undani mfumo mzima wa kodi ...