Habari
Mahakama Kuu yakataa maombi ya Tundu Lissu ya kurudishiwa Ubunge
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Wakili Tundu Lissu ya kufungua shauri la kutengua uamuzi wa Spika wa Bunge, Job ...Fahamu aina mbalimbali za madini yanayopatikana Afrika, na matumizi yake
Kila mtu anafahamu kuwa dunia kuna madini, tena ni moja ya bidhaa zenye thamani sana, ambapo maelfu ya watu na kampuni zimeweza ...Tanzania kuomboleza kifo cha Rais Mugabe kwa siku 3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza siku 3 za maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha ...Kampuni ya Total yasitisha ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda-Tanzania
Kampuni ya mafuta ya Total imesitisha mpango ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini Tanzania, ...Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini aelezea hali za Watanzania kutokana na vurugu nchini humo
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Richard Lupembe amesema bado mpaka leo Jumanne Septemba 3, 2019 saa 5 asubuhi hakuna Mtanzania aliyeuawa ...Rais Dkt Magufuli awakingia kifua Watendaji wa Kata
Rais Dkt Magufuli amewapongeza Watendaji wa Kata kwa kuiwakilisha vizuri Serikali katika Kata zao na amewahakikishia kuwa Serikali inatambua na inathamini uwepo ...