Habari
Yasome mashtaka matatu yanayomkabili Mwandishi Erick Kabendera
Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, Erick Kabendera leo Agosti 5 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na ...Dereva wa Mkuu wa Mkoa azimia baada ya mwanae kupata ajali na gari ya RC ...
Dereva wa Mkuu wa Mkoa wa Mara amelazwa hospitali baada ya kuanguka kwa presha alipofika eneo ambapo mtoto wake mwenye umri wa ...Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania awekewa vikwazo na Marekani
SERIKALI ya Marekani imemuwekea vikwazo Brigedia Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimbabwe kutokana na kuhusika katika vifo vya raia 6 waliokuwa wakiandamana ...Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuhudumia abiria milioni 8 kwa mwaka
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere umeongeza idadi ya abiria watakaokuwa wakihudumiwa na Uwanja huo kutoka abiria milioni 2 mpaka ...Wahitimu 118 hatarini kufutiwa PhD zao
Wahitimu 118 wa Shahada za Uzamivu (PhD) mwaka 2019 kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Jomo Kenyatta nchini Kenya wapo ...Serikali yapiga marufuku walimu kuingia na viboko darasani
SERIKALI imepiga marufuku walimu wanaofundisha madarasa ya kuanzia elimu ya awali hadi darasa la tatu kuingia na viboko darasani. Kauli hiyo imetolewa ...