Habari
Mwili wa Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Fedha wakutwa unaning'ia kichakani, ndugu wasimulia
(MwanaHALISI): MKURUGENZI Msaidizi wa miradi katika wizara ya fedha na mipango, Mhandisi Leopold Lwajabe (56), ameripotiwa kufariki dunia katika mazingira ya kutatanisha. ...Serikali yasaini mkataba wa ujenzi wa daraja la TZS bilioni 592 mkoani Mwanza
Na.Mwandishi Wetu –MAELEZO. Hatimaye historia imeandikwa nchini Tanzania kwa kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi katika Ziwa Victoria mkoani ...Faida kubwa 5 zinazotokana na Mradi wa Stigler's Gorge
Kwa mujibu wa Wizara ya Nishati, mradi wa Umeme wa Maji Rufiji (RHPP) ambao awali ulijulikana kwa jina laStiegler’s Gorge utakaozalisha umeme wa Megawati ...Rais aagiza uchunguzi wa matumizi ya TZS 15.3bn za TAZARA
Rais Dk Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuchunguza matumizi ya shilingi Bilioni 15 na Milioni 300 zilizotolewa na Serikali kwa ...Serikali yataja miradi mipya ya umeme inayofuata baada ya Stigler's Gorge
Rais Dk Magufuli amesema kuwa Serikali inatarajia kujenga mradi wa kuzalisha umeme katika mto Ruhudji utakaozalisha megawati 359, mradi wa Lumakali megawati ...Serikali yaahidi kuifanyia marekebisho Sheria ya Huduma za Habari
Waziri wa Habari, Utamadani, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ameahidi kuwa baadhi ya vifungu vya sheria inayoongoza maudhui katika vyombo vya ...