Habari
Benki ya Dunia yapingana na takwimu za ukuaji wa uchumi za serikali
Benki ya Dunia (WB) imesema kuwa uchumi wa Tanzania ulikua kwa asilimia 5.2 mwaka 2018, takwimu ambazo zinapinga na zile zilizotolewa na ...Mahakama yatoa msimamo wa Tanzania kuhusu adhabu ya kifo
Mahakama Kuu ya Tanzania imesema kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa adhabu ya kifo inakiuka katiba ya nchi. Watetezi wa haki ...Orodha mpya: Akaunti 25 za ku-follow Twitter Tanzania (ToT) mwaka huu wa 2019
Mtandao wa Twitter ni moja ya sehemu zinazoongoza kwa mijadala mikubwa mtandaoni nchini Tanzania kwa sasa, na hata kwa burudani, vijembe, ngebe, ...Tanzania yaamriwa kuwalipa fidia wafungwa 10 raia wa Kenya
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu imeiamuru serikali ya Tanzania kuzilipa fidia familia za raia 10 wa Kenya waliohukumiwa kifungo nchini. ...Jinsi ya kutambua kama WhatsApp yako ina virusi na namna ya kuviondoa
Jumla ya simu milioni 25 zinazotumia mfumo endeshi (OS) wa Android zimeathiriwa na kirusi ambacho huweka ndani ya programu tumishi kama vile ...