Habari
Jumuiya ya Madola yahimiza haki za binadamu na utawala wa sheria nchini Tanzania
Jumuiya ya Madola imeonesha kuridhishwa na namna Tanzania inavyotekeleza mageuzi ya kiuchumi,uwajibikaji na uawala bora kwa wananchi wake jambo ambalo jumuiya hiyo ...Magari 11 ya anasa ya Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea kupigwa mnada
Magari ya anasa (luxury) ya Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Nguema Obiang Mangue yataigwa mnada Septemba 29 mwaka huu na ...Rais Dk Magufuli kuzindua Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato
Rais Dk John Pombe Magufuli anatazindua rasmi Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato Julai 09 mwaka huu, ambapo pamoja na mambo mengine, atakabidhi ...Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza mwongozo wa utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 unaotaja sifa, vigezo na ...