Habari
Nigeria: Serikali yashikilia ndege binafsi ya Waziri kwa kujipatia mabilioni katika dili ya mafuta
Serikali ya Nigeria inaishikilia ndege ya kifahari ya aliyekuwa waziri wa mafuta wa nchi hiyo, Dan Etete kufuatia kuhusishwa kwake katika tuhuma ...Rais Magufuli: Corona imeondolewa nchini kwa nguvu za Mungu
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufulia amesema kuwa ugonjwa wa homa ya mapafu (Covid-19) unaosababishwa na virusi vya corona umeondolewa nchini kwa nguvu ...Shirika la Afya Duniani labadili msimamo wake kuhusu uvaaji wa barakoa
Shirika la Afya Duniani (WHO) limebadilisha ushauri wake kuhusu uvaaji wa barakoa, ambapo sasa limesisitiza uvaaji (wa barakoa) katika maeneo yenye watu ...Aliyekuwa bosi wa Bohari ya Dawa ashtakiwa kwa utakatishaji wa bilioni 1.6
Waliokuwa vigogo wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini Tanzania leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ...