Habari
Madagascar: Waziri afukuzwa baada ya kuagiza pipi za bilioni 5
Waziri wa Elimu nchini Madagascar amefukuzwa kazi baada ya mpango wake wa kutaka kununua pipi zenye thamani ya $2.2 milioni (TZS 5.1 ...Rais Magufuli aagiza wanaogawa barakoa zisizothibitishwa wakamatwe
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amewaagiza viongozi katika maeneo mbalimbali nchini kuwakamata na kuwahoji wale wote wanaogawa barakoa kwa wananchi ili waeleze ...Kinana amuomba radhi Rais Magufuli
Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amemuomba radhi Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. John Magufuli. Kinana amechukua ...Kenya yabaini uwepo wa aina (strains) tisa za virusi vya corona
Taasisi ya Utafiti wa Tiba nchini Kenya (KEMRI) imethibitisha uwepo wa angalau aina (strains) tisa za virusi vya corona vinavyosambaa nchini humo. ...Orodha ya maafisa wa JWTZ waliopandishwa vyeo na Rais Magufuli
Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Magufuli wamewapandisha vyeo maafisa wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ...