Habari
Mfanyakazi kiwanda cha pombe ashikiliwa kwa kumuua mpenzi wake Goba
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemweka chini ya ulinzi mwanaume aliyefahamika kwa jina la Musa Sasi (32) anayefanya ...Akamatwa akitorokea Tanzania baada ya kumkata sehemu za siri mpenzi wake
Polisi katika Wilaya ya Kyotera Mkoa wa Kati wa Uganda, wanamshikilia Harriet Ampayire mwenye umri wa miaka 23 kwa tuhuma za kumkata ...Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wahasibu Afrika
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Pili wa Wahasibu Barani Afrika (African Association of Accountants General Meeting (AAAG)) utakaofanyika kwa ...Serikali Zanzibar: Kuna ongezeko la watoto wahamiaji holela kutoka Bara
Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji. Katibu ...Rais Ruto awaongeza mishahara maafisa polisi na magereza
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza kuwa nyongeza ya mishahara kwa maafisa wa polisi, magereza na maafisa wengine wa mashirika ya usalama ...Nafasi 1,320 za Ajira Serikalini
POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 13 POSTEmployer: Halmashauri ya Wilaya ya MufindiMore Details 2024-08-04 Login to Apply POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 24 POSTEmployer: Halmashauri ...