Habari
Marekani yaipa Tanzania bilioni 5 kupambana na corona
Marekani imetangaza kuipatia Tanzania nyongeza ya $2.4 milioni (TZS 5.6 bilioni) kwa ajili ya kuwezesha mapambano dhidi ya maambukizi ya homa ya ...Taarifa muhimu ya bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeanza kufanya malipo yenye jumla ya thamani ya TZS 63.7 bilioni ikiwa ...Video: Mwenye nyumba aezua paa baada ya mpangaji kuchelewesha kodi
Mama wa watoto nne, raia wa Kenya, amejikuta akiishi katika nyumba isiyo na malango na sehemu ya paa, baada ya mama mwenye ...Shirika la Afya Duniani kuifanyia majaribio dawa ya corona ya Madagascar
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amesema kuwa Shirika la Afya Duniani (WHO) limekubali kuifanyia majaribio ya binadamu dawa inayoripotiwa kutibu corona inayozalishwa ...Rais Magufuli atangaza kufungua vyuo, na masomo kwa kidato cha sita
Rais wa Tanzania, Dkt Magufuli amesema kuwa kutokana na hali ya corona nchini kuendelea kuwa shwari, serikali imeamua kufungua vyuo vyote na ...