Habari
Rais Magufuli na Rais Kenyatta wafikia muafaka hali ya mipakani
Rais wa Tanzania, John Magufulia amesema kuwa amezungumza na mwenzake, Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuhusu suala la mipakani mwa nchi hizo ...Akamatwa kwa kuahidi kutoa rushwa akishinda ubunge
Mjumbe wa Baraza Kuu la Vijana Taifa anashikiliwa na Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi, Zanzibar (ZAECA) kwa tuhuma za ...Korona: Sekta mbalimbali zinavyobadili sera za kiutendaji kulinda wafanyakazi na kupunguza maambukizi
Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umelazimisha sekta nyingi kutazama upya namna zinavyoendesha kazi zake. Katika juhudi za kupunguza maambukizi na ...Corona: TBS yataja mambo 7 ya kuzingatia kwa wazalishaji na watumiaji wa barakoa za vitambaa
Katika kuhakikisha wananchi wanakuwa salama wanapotumia vifaa kinga mbalimbali kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa ...RC Gambo aeleza Kenya inavyotumia corona kuua utalii Tanzania
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema amebaini kuwa mamlaka nchini Kenya zimekuwa zikitangaza kuwa madereva wa Tanzania wanaotaka kuingia nchini ...Corona:RC Makonda awataka wakazi wa Dar waliokimbilia mikoani kurejea
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amewataka wakazi wa mkoa huo ambao waliondoka na kwenda mikoa mingine kwa ajili ya kukwepa ...