Habari
Rais Magufuli: Mwanangu aliugua corona, akajifukiza, amepona
Rais DKt John Pombe Magufulia amesema kuwa mwanae wa kumzaa alipata maambukizi ya virusi vya corona, na sasa ni mzima wa afya. ...Balozi wa China nchini Israel akutwa amefariki nyumbani kwake
Balozi wa China nchini Israel amekutwa amefariki nyumbani kwake mjini Tel Aviv leo Mei 17, 2020. Du Wei (58) aliteuliwa kushika wadhifa ...Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndungulile
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Godwin Mollel (Mbunge wa Siha) kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, ...Kenya yafunga mipaka yake na Tanzania na Somalia kwa siku 30
Serikali ya Kenya imetangaza kufunga mipaka yake na Tanzania na Somalia kuanzia leo Mei 16, 2020 saa sita usiku ikiwa ni sehemu ...Corona: Tanzania na Rwanda zafikia makubaliano kuhusu Mpaka wa Rusumo
Tanzania na Rwanda zimefikia makubaliano juu ya mpango mkakati wa kusafirisha mizigo baina ya nchi hizo mbili katika kipindi hiki cha janga ...