Habari
Waziri Ummy Mwalimu: Corona itaendelea kuwepo tujifunze kuishi nayo
Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema kuwa kuna haja ya Watanzania kujifunza kuishi na virusi vya corona kwa sababu vitaendelea ...Virusi vya corona huenda visiishe kabisa, WHO imetahadharisha
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa virusi vya corona huenda visiishe kabisa, huku likitoa tahadhari dhidi ya wanaojaribu kueleza lini virusi ...Teknolojia inavyotusaidia kupambana na kirusi cha corona
Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umeleta athari nyingi kwa jamii zetu na kuathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na watoa huduma ...Majina ya wabunge 15 wa CHADEMA waliozuiwa kuingia bungeni
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Nduga ameagiza Kitengo cha Usalama cha Bunge kutowaruhusu wabunge 15 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...