Habari
Nigeria: Rais amteua marehemu kushika wadhifa serikalini
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari amemteua mtu aliyefariki kushika wadhifa serikali, jambo ambalo limeibua mjadala nchini humo huku baadhi wakidai ofisi hiyo ...Haya ni makundi matatu yatakayofanyiwa majaribio ya dawa za corona
Mganga Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Prof. Abel Makubi ameeleza kuwa dawa za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona zilizoingizwa nchini ...Matengenezo ya maabara ya taifa yakwamisha utoaji taarifa za corona
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeeleza kuwa kwa muda wa siku saba sasa haijatoa taarifa za hali ya maambukizi ya virusi vya ...Utafiti: Waafrika wengi watateseka njaa serikali zikiweka ‘lockdowns’
Nchi mbalimbali zikiendelea kuchukua hatua mbalimbali kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona, mbili ya tatu ya watu walioohojiwa katika utafiti uliohusisha nchi ...Orodha ya madaktari wapya 610 na vituo walivyopangiwa
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imeeleza kuwa zoezi la uchambuzi wa maombi ya kazi za udaktari yaliyopokelewa kuanzia tarehe 24 Machi, 2020 ...