Habari
Msimamizi wa upimaji virusi vya Corona Kenya ashushwa cheo
Kushushwa cheo kwa mtaalamu aliyekuwa anahusika na upimaji wa sampuli za virusi vya corona nchini Kenya kumeibua mjadala mkubwa miongoni mwa wafanyakazi ...Raia wa India wajaribu kutoroka karantini kukwepa msongamano
Maelfu ya raia wa India waliowekwa karantini nchini humo wamelalamikia hali mbaya katika vituo hivyo ikiwemo kutokuwa na umbali wa kutosha kati ...Rais Magufuli atoa msamaha kwa wafungwa 3,900
Katika kuadhimisha miaka 56 ya Muungano, Mhe. Rais Magufuli ametoa msamaha kwa jumla ya wafungwa 3,973 ambapo kati yake wafungwa 3,717 wamesamehewa ...