Habari
Taarifa ya serikali kuhusu mtihani wa kidato cha sita 2020
Wizara ya elimu nchini Tanzania imeahirisha mtihani wa kidato cha sita mwaka 2020 hadi hapo itakapoamuliwa vinginevyo kutokana na janga la virusi ...Wagonjwa walazimisha kutoka Hospitali ya Amana
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, amethibitisha kuwa baadhi ya wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam, Amana, walitaka ...Corona: Rais Magufuli asema Dar es Salaam haitofungwa (lockdown)
Rais Magufuli amesema Serikali haitawafungia wananchi majumbani (lockdown) wala kulifunga Jiji la Dar es Salaam kama ambavyo baadhi ya watu wamependekeza, ili ...Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka Watanzania kuiamini serikali vita ya corona
Wakati hatua mbalimbali zikiendelea kuchukuliwa, waziri mkuu amewasihi Watanzania kuiamini serikali pamoja na watalamu wa afya katika mapambano dhidi ya homa ya ...