Habari
Rais Magufuli afanya mabadiliko wizara ya afya
Rais Dkt. Magufuli amemteua Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. ...Corona: RC Songwe wataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya wageni kutoka Dar na Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Songwe amewataka wananchi wote wa mkoani humo kuchukua tahadhari kwa kuwa kumekuwa na wageni wengi wanao ingia Songwe ...Wizara ya afya Tanzania yaandaa maombi maalum dhidi ya janga la corona
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kesho Aprili 22, 2020 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maombi maalum ya kuliombea taifa dhidi ya ...