Habari
Watawa wafariki ajalini wakitokea kwenye sherehe
Watawa watatu wa Shirika la Mtakatifu Benedikto Ndanda mkoani Mtwara wamefariki katika ajali ya gari katika Kijiji cha Mtua Longa Halmashauri ya ...Daraja lililolalamikiwa na wakazi wa Ubungo kuanza kujengwa Agosti
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema kuwa ujenzi wa daraja katika Mtaa wa Msumi, wilayani Ubungo, Dar es Salaam ...Bashungwa: Kupasuka kwa barabara Basunzu siyo kosa la mkandarasi
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema uchunguzi uliofanywa umebaini mpasuko wa ardhi na kuporomoka kwa tuta la barabara uliojitokeza katika eneo la ...NCCR Mageuzi yadai Mbatia ameuza mali za chama
Chama cha NCCR Mageuzi kimemtuhumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuuza mali za chama kiholela ikiwemo nyumba, kwa maslahi binafsi. ...Mganga wa kienyeji amng’oa mkewe meno kisa shilingi 200
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia Musa Abdallah, mkazi wa Kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kumng’oa meno matatu mke ...Rais Mwinyi: Sekta ya sukari ni kipaumbele kwa Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa sekta ya sukari ni kipaumbele katika kilimo ...