Habari
Serikali yaeleza sababu ya kutoshuka kwa bei ya taulo za kike licha ya kodi kufutwa
Na. Peter Haule, WFM, DodomaSerikali imesema kuwa nguvu ya soko pamoja na gharama nyingine zimechangia kutoshuka kwa bei ya taulo za kike ...Tanzania kuuza tani laki 7 za mahindi nchini Zimbabwe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema Tanzania itaiuzia Zimbabwe tani 700,000 za mahindi kufuatia nchi ...Dereva Taxi kizimbani kwa 'kumteka' Mo Dewji
Dereva Taxi, Mousa Twaleb (46) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumanne Mei 28, 2019 akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo ...Makundi 47 ambayo RC Ally Hapi ameyataka yawe na vitambulisho vya wajasiriamali
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi amesitisha likizo za Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zilizomo mkoani humo kufuatia mkoa ...