Habari
DPP amfutia kesi Mkurugezi wa TPDC aliyerejeshwa kazini na Rais Magufuli
Vigogo watano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, James Mataragio wameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ...Tanzania yakopa TZS 414 bilioni kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam Jiji la Dodoma na vitongoji vyake, hivi karibuni litabadilika mwonekano wake na kuwa la viwango vya ...Orodha ya NGOs 158 zitakazoondolewa kwenye rejista ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuanzia Septemba 1
Kupata orodha ya mashirika hayo bonyeza hapaMpishi Kenya avunja rekodi ya dunia
Mtaalamu wa Mapishi, Maliha Mohammed kutoka Mombasa nchini Kenya amevunja rekodi ya dunia (Guinness World Record) kwa kutumia mrefu zaidi akipika. Maliha ...Balozi Dk Slaa awakosoa wanaotumia mitandao kuichafua serikali
Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbrod Slaa amekemea tabia ya Watanzania kuweka mambo ya ndani ya nchi kwenye mitandao ya kijamii, ...Agizo la DC Bariadi la kuwataka watumishi kununua mashine ya ultrasound latenguliwa
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Jumanne Sagini ametengua agizo la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Festo Kiswaga la kuwataka watumishi 137 wa ...