Habari
Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania awekewa vikwazo na Marekani
SERIKALI ya Marekani imemuwekea vikwazo Brigedia Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimbabwe kutokana na kuhusika katika vifo vya raia 6 waliokuwa wakiandamana ...Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuhudumia abiria milioni 8 kwa mwaka
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere umeongeza idadi ya abiria watakaokuwa wakihudumiwa na Uwanja huo kutoka abiria milioni 2 mpaka ...Wahitimu 118 hatarini kufutiwa PhD zao
Wahitimu 118 wa Shahada za Uzamivu (PhD) mwaka 2019 kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Jomo Kenyatta nchini Kenya wapo ...Serikali yapiga marufuku walimu kuingia na viboko darasani
SERIKALI imepiga marufuku walimu wanaofundisha madarasa ya kuanzia elimu ya awali hadi darasa la tatu kuingia na viboko darasani. Kauli hiyo imetolewa ...Mwili wa Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Fedha wakutwa unaning'ia kichakani, ndugu wasimulia
(MwanaHALISI): MKURUGENZI Msaidizi wa miradi katika wizara ya fedha na mipango, Mhandisi Leopold Lwajabe (56), ameripotiwa kufariki dunia katika mazingira ya kutatanisha. ...Serikali yasaini mkataba wa ujenzi wa daraja la TZS bilioni 592 mkoani Mwanza
Na.Mwandishi Wetu –MAELEZO. Hatimaye historia imeandikwa nchini Tanzania kwa kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi katika Ziwa Victoria mkoani ...