Habari
Faida kubwa 5 zinazotokana na Mradi wa Stigler's Gorge
Kwa mujibu wa Wizara ya Nishati, mradi wa Umeme wa Maji Rufiji (RHPP) ambao awali ulijulikana kwa jina laStiegler’s Gorge utakaozalisha umeme wa Megawati ...Rais aagiza uchunguzi wa matumizi ya TZS 15.3bn za TAZARA
Rais Dk Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuchunguza matumizi ya shilingi Bilioni 15 na Milioni 300 zilizotolewa na Serikali kwa ...Serikali yataja miradi mipya ya umeme inayofuata baada ya Stigler's Gorge
Rais Dk Magufuli amesema kuwa Serikali inatarajia kujenga mradi wa kuzalisha umeme katika mto Ruhudji utakaozalisha megawati 359, mradi wa Lumakali megawati ...Serikali yaahidi kuifanyia marekebisho Sheria ya Huduma za Habari
Waziri wa Habari, Utamadani, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ameahidi kuwa baadhi ya vifungu vya sheria inayoongoza maudhui katika vyombo vya ...Rais Magufuli amrejesha kazini Mkurugenzi aliyesimamishwa kazi 2016
Rais Dk Magufuli ameiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ...Yanayosemwa baada ya Rais kumteua Simbachawene aliyejiuzulu uwaziri 2017
Rais Dkt John Pombe Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira uteuzi ambao ...