Habari
VODACHAT: Zijue Fursa za Uwekezaji Kidjitali
Vodacom Tanzania PLC kupitia jukwaa lake la VODACHAT imeendesha mjadala wa moja kwa moja kuhusu Fursa za Uwekezaji Katika Dunia ya Kidijitali, ...Rais Samia awataka watumishi wa Sekta ya Ardhi kubadilika na kuachana na vitendo vya rushwa
Rais Suluhu Hassan amewataka watumishi wa Sekta ya Ardhi nchini kubadilika na kuachana na vitendo vya rushwa pamoja na maamuzi yasiyo ya ...Serikali ya Kenya yaendelea kumpambania binti aliyehukumiwa kifo Vietnam
Serikali ya Kenya inafanya juhudi za haraka kuzuia kunyongwa kwa Margaret Nduta (37), Mkenya aliyekamatwa nchini Vietnam miaka miwili iliyopita na kuhukumiwa ...Ashikiliwa kwa kumkata kichwa na kumuua mtoto wa miaka sita
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja (26) mkazi wa Kijiji cha Kirwa wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto Rosemary ...Trump asitisha ufadhili kwa shirika la habari la VOA
Rais wa Marekani, Donald Trump amesaini agizo la kusitisha ufadhili wa Voice of America (VOA), shirika la habari ambalo linapata fedha kutoka ...