Habari
TANESCO: Ongezeko la kodi ya majengo kwenye LUKU ni madeni ya nyuma
Kufuatia malalamiko kuhusu ongezeko la viwango vya malipo ya kodi ya majengo katika ununuzi ya umeme kuanzia Julai 1, 2024, Shirika la ...Aliyejirekodi akimkashifu na kuchoma picha ya Rais Samia akamatwa
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Shadrack Yusuph Chaula (24), mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato Wilaya ya Rungwe mkoani ...Daraja la Magufuli kukamilika Desemba mwaka huu
Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa Kilomita 3.0 na barabara unganishi Kilomita 1.66 linatarajiwa kuanza kutumika Desemba 30, ...Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kugharamia matibabu ya Edgar Mwakabela maarufu ‘Sativa’ aliyetekwa, kujeruhiwa na kutelekezwa msituni Katavi, kuanzia sasa anapoendelea kupatiwa ...Wanawake wenye miaka ya 30 na zaidi wanavyokabiliwa na shinikizo la ndoa
Changamoto za wanawake wenye umri wa miaka ya 30 ambao hawajaolewa na namna wanavyokabiliana na msongo wa mawazo Wanawake wenye umri wa ...TRC yafanya mabadiliko ya ratiba na ongezeko la safari za SGR
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza mabadiliko ya ratiba na ongezeko la safari za treni za reli ya kiwango cha mataifa (SGR) ...