Habari
Tabora United hatarini kufungiwa uwanja wa nyumbani kwa kuvunja kanuni za ligi
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema imeazimia kuufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ...Jeshi la Polisi lapiga marufuku kampuni za ulinzi kutumia Gobore
Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku kampuni binafsi za ulinzi kutumia silaha zilizotengenezwa kienyeji aina ya gobore kinyume na sheria. Akitoa taarifa ...Sababu 8 zinazopelekea watu kufariki wakiwa usingizini
Kufariki usingizini mara nyingi huhusishwa na mshtuko wa ghafla wa moyo na moyo kupoteza utendaji wake unaohusishwa na kushindwa kwa moyo (CHF). ...Polisi kuwasaka waliomteka na kumjeruhi mfanyabiashara Sativa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limesema limeanza uchunguzi na kuwasaka watu wote waliohusika na kutekwa kwa mfanyabiashara aitwaye Edgar Mwakabela (27) ...Ruto akataa kusaini Muswada wa Fedha 2024
Rais wa Kenya, William Ruto amesema hatatia saini Muswada wa Fedha wa 2024 baada ya Wakenya kuupinga vikali muswada huo na kufanya ...PDPC: Wanaofunga CCTV kamera maeneo ya faragha wanakiuka sheria
Tume ya Ulizi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezionya taasisi na kampuni zote nchini zinazotumia kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya faragha ...