Habari
Polisi kuwasaka waliotoa taarifa ya mgomo Kariakoo
Jeshi la Polisi nchini limesema Uongozi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa soko la Kariakoo umeeleza kuwa tangazo linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ...CCM Zanzibar yapendekeza Dkt. Mwinyi kuongoza kwa miaka saba
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa ...Wafanyabiashara Kariakoo wakanusha kutangaza kufanya mgomo
Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam wamekanusha tangazo linalosambaa katika mitandao ya kijamii likieleza kuwa kutakuwa na mgomo kuanzia ...Tanzania na Guinea-Bissau kushirikiana kukuza zao la korosho
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Guinea-Bissau zimejadiliana kuhusu ushirikiano katika kukuza uchumi wa bluu na kilimo cha korosho hususani katika ...Mfahamu Askofu Wolfgang Pisa, Rais mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limemchagua Askofu Wolfgang Pisa kuwa Rais mpya wa baraza hilo. Askofu Pisa ni Askofu wa jimbo ...Tanzania yaidhinishiwa mikopo yenye thamani ya trilioni 2 kutoka IMF
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeidhinisha mikopo yenye thamani ya dola milioni 935.6 [TZS trilioni 2.45] kwa Tanzania ili kusaidia mageuzi ...