Habari
Serikali yaahidi kuifanyia marekebisho Sheria ya Huduma za Habari
Waziri wa Habari, Utamadani, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ameahidi kuwa baadhi ya vifungu vya sheria inayoongoza maudhui katika vyombo vya ...Rais Magufuli amrejesha kazini Mkurugenzi aliyesimamishwa kazi 2016
Rais Dk Magufuli ameiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ...Yanayosemwa baada ya Rais kumteua Simbachawene aliyejiuzulu uwaziri 2017
Rais Dkt John Pombe Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira uteuzi ambao ...Benki ya Dunia yapingana na takwimu za ukuaji wa uchumi za serikali
Benki ya Dunia (WB) imesema kuwa uchumi wa Tanzania ulikua kwa asilimia 5.2 mwaka 2018, takwimu ambazo zinapinga na zile zilizotolewa na ...Mahakama yatoa msimamo wa Tanzania kuhusu adhabu ya kifo
Mahakama Kuu ya Tanzania imesema kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa adhabu ya kifo inakiuka katiba ya nchi. Watetezi wa haki ...Orodha mpya: Akaunti 25 za ku-follow Twitter Tanzania (ToT) mwaka huu wa 2019
Mtandao wa Twitter ni moja ya sehemu zinazoongoza kwa mijadala mikubwa mtandaoni nchini Tanzania kwa sasa, na hata kwa burudani, vijembe, ngebe, ...


