Habari
Polisi: Tunafuatilia mazingira ya kupotea kwa kiongozi wa CHADEMA
Jeshi la Polisi limesema linafuatilia taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya kupotea kwa kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ...Rais atoa rai kwa Watanzania kuuenzi Mwenge wa Uhuru kwa kufanya kazi kwa bidii
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa vijana wa Kitanzania kuendelea kuulinda Mwenge wa Uhuru ambayo ni Tunu ya Taifa na kuuenzi ...Timu ya Taifa ya Nigeria yasusia mechi ya kufuzu AFCON
Timu ya Taifa ya Nigeria imeamua kutocheza mechi ya kufuzu Mashindano ya AFCON 2025 nchini Libya dhidi ya Mediterranean Knights baada ya ...Nafasi 25 za Ajira Serikalini
POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 6 POST Employer: Halmashauri ya wilaya ya Kilosa More Details 2024-10-14 Login to Apply POST: ASSISTANT LECTURER (ACCOUNTING AND ...Mwanamke akiri kuua mtoto wa miaka 12 Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma (12) mkazi wa kwa ...Tanzania yateuliwa kunufaika na mpango wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia (World Bank Group, zimeitangaza Tanzania kuwa nchi ya pili, baada ya Madagascar ...