Habari
Baba, Paroko wakamatwa wakiwa na viungo vinavyodhaniwa ni vya mtoto albino aliyeuawa Kagera
Kufuatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa kwa mtoto Asimwe Novart (2) mwenye ulemavu wa ngozi aliyeporwa na watu wasiojulikana katika Kijiji cha Bulamulaa ...Nini sababu za baadhi ya viongozi wa Afrika kushikilia madaraka kwa muda mrefu?
Kauli kwamba “viongozi wa Afrika wanapenda madaraka” ni mtazamo ambao mara nyingi umetokana na historia na mifano mbalimbali ya viongozi wa Afrika ...Rais Samia: Vyombo vya Habari si mshindani wa Serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amesema vyombo vya habari sio mshindani wa Serikali, bali ni mdau na mshiriki muhimu wa shughuli za Serikali, ...Mpina akabidhiwa kwenye Kamati ya Maadili juu ya ushahidi wa Bashe kwa vyombo vya habari
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameiagiza Kamati ya Haki Maadili na Madaraka ya Bunge kukutana na kujadili juu ya mbunge wa ...Nafasi 50 za Ajira Serikalini
POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 1 POSTEmployer: Halmashauri ya Wilaya ya LongidoMore Details 2024-06-28 Login to Apply POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 1 POSTEmployer: Halmashauri ...Ripoti: Watalii wazidi kumiminika Tanzania, mapato yapaa
Ripoti ya Mei 2024 ya Benki Kuu ya Tanzania iliyotolewa Juni 17, imeonesha kuwa sekta ya utalii imeendelea kukua kwa kiasi kikubwa ...