Habari
Rais Samia akemea ubabe kwa viongozi wa mikoa na wilaya
Rais Samia Suluhu Hassan amesema baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya wanatumia vibaya madaraka yao kwa kuendeleza ubabe wakati wa utekelezaji ...Muuguzi aliyeshindwa kumsaidia mjamzito kujifungua asimamishwa kazi
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, Fred Milanzi amemsimamisha kazi muuguzi wa Zahanati ya Basanza, Alex Lyimo ili kupisha ...ZFF yapiga marufuku kampuni za ‘betting’ kuingiza Ligi Kuu ya Zanzibar
Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) limezitaka kampuni za kamari nchini kuondoa mara moja Ligi Kuu ya Zanzibar (PBZ Premier League) ...Mambo 6 yanayoweza kutokea unapokuwa hushiriki kufanya mapenzi kwa muda mrefu
Kushiriki kufanya mapenzi si tu shughuli ya kufurahisha kimwili, bali pia ina athari kubwa kiafya ambazo zinaweza kuwa na faida kubwa kwa ...Serikali yapendekeza makosa ya ajali barabarani yapelekwe kwenye makosa makubwa zaidi
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Askari wa Usalama Barabarani kutokuwa na huruma kwa wazembe wote wanaokiuka sheria za barabarani hata ...Ashikiliwa kwa tuhuma za kuwanajisi watoto wake mapacha
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Hamad Kapera (20) mkazi wa Kilosa mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuwanajisi watoto wake mapacha wenye ...