Habari
Ahukumiwa miaka 30 kwa kumbaka na kumpa ujauzito mtoto wa shemeji yake
Mahakama ya Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Michael Mchanjale (31) kwa kosa la kumbaka na kumpa ...Nchi za Afrika zenye amani zaidi kwa mwaka 2024
Amani ni hali ya utulivu, usalama, na uhakika wa maisha bila vitisho vya ghasia au migogoro. Ni msingi muhimu wa maendeleo endelevu, ...Rais Samia amuagiza Msajili wa Hazina kufuatilia hesabu za mashirika yote kwenye mfumo
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu kuhakikisha anaweza kuona hesabu za mashirika yote anayoyasimamia ikiwa ni pamoja na ...Rais asisitiza mashirika kuzalisha zaidi ili kuleta mageuzi ya kiuchumi
Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika ya umma na taasisi za ndani kufanya kazi kwa bidi na kuzalisha zaidi ili uchumi wa ...Ng’ombe 70 zakamatwa zikisafirishwa nje ya nchi kinyume na sheria
Jeshi la Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo mkoani Arusha kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi limewakamata watuhumiwa wanne ...