Maisha
Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limesema linamshikilia na linaendelea kumhoji Diana Bundala na maarufu kama Mfalme Zumaridi (42) ambaye ameyageuza makazi yake ...Rais mstaafu wa Mauritania ahukumiwa miaka 15 jela
Mahakama ya rufaa nchini Mauritania imemhukumu Rais mstaafu, Mohamed Abdel Aziz kifungo cha miaka 15 jela na faini ya dola milioni 3 ...Finland yaipa Tanzania heshima ya kipekee Barani Afrika
Tanzania imetoa wito kwa wawekezaji kutoka nchini Finland kuongeza ushiriki wao katika kuchochea uchumi na biashara nchini kama mbia mkubwa wa maendeleo ...Serikali ya Kenya yafunga jengo la Freemason kwa kutolipa kodi
Serikali ya Kaunti ya Nairobi nchini Kenya imefunga jengo la Freemasons’ Hall la Grand Lodge of East Africa lililoko katikati ya jiji ...Naibu Katibu Mkuu CHADEMA akamatwa uwanja wa ndege akielekea Ubelgiji
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limemkamata Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani ...Amuuza mtoto wake kwa milioni 64 ili afungue biashara
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 20 kutoka jiji la Dnipro, Ukraine, amehukumiwa kifungo cha miaka nane jela baada ya kupatikana na ...